Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
SHARE Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, ametuma ujumbe wa wazi kwa vyama vya siasa kujipanga kikamilifu kwa uchaguzi huu badala ya kusubiria matokeo na kulalamika baadaye. Hili linahusiana na ukweli kwamba vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, vimekuwa vikitumia…
Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify
Albamu ya Drake ‘Views’ ndiyo hatimaye imepiga hatua ya ajabu kwenye jukwaa la Spotify, na kuwa albamu ya tatu ya rap kuzidi mitiririko bilioni 10. Mafanikio haya sio tu yanaimarisha nafasi ya Drake katika tasnia ya muziki lakini pia inamfanya kuwa rapa pekee hadi sasa kuwa na albamu mbili (na Scorpion ikiwa ya kwanza) kufikisha…
‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag
Nyota wa zamani wa Uingereza Joe Cole ametaja chaguo la wazi kuchukua nafasi ya Erik ten Hag katika klabu ya Manchester United. Ten Hag anaonekana kuwa na michezo miwili kuokoa kibarua chake Old Trafford baada ya United kuanza vibaya msimu huu na kipigo kibaya cha 3-0 Jumapili kutoka kwa Tottenham. Wachambuzi kadhaa wamehoji ni kwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele za Magazeti ya Tanzania.
Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza baada ya kuwakuta na hatia katika makosa yote mawili walioshtakiwa nayo la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya,…
Taliban yawakamata washukiwa wa kundi la ISIS waliosababisha vifo vya watalii 3 wa Kigeni
Serikali inayoongozwa na Taliban nchini Afghanistan imetangaza kukamatwa kwa watu kadhaa wanaodaiwa kuwa wanachama wa tawi la kikanda la Islamic State ambao wanashukiwa kuwaua watalii watatu wa kigeni huko Bamiyan mwezi Mei na kuhusika katika shambulio la katikati ya Septemba dhidi ya maafisa wa kufuata huko Kabul. Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema mnamo tarehe…
UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA ZANZIBAR KUFANYIKA OKTOBA
Homehabari UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA ZANZIBAR KUFANYIKA OKTOBA Monday, September 30, 2024 Makamu Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji wa Rufaa(Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk, akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa Wadau wa Uchaguzi katika kisiwa cha Pemba, Zanzibar leo Septemba 30, 2024 ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekutana…