Taarifa za uhakika zaidi zinaeleza kuwa Simba SC wanatarajia kukipiga dhidi APR kwenye siku ya tamasha la Simba Day.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika siku ya Agosti 03 hii ikiashiria kuwa wapo tayari Kwa msimu ujao.