Israel yamuua kamanda wa Hezbollah Ibrahim Muhammad Al-Qubasi
Huku mzozo na mapigano ukiendelea kati ya Israel na Hezbollah, msemaji wa jeshi la Israel (IDF), Avichay Adraee anasema wanajeshi wa Israel wamemuua Ibrahim Muhammad al-Qubasi leo jijini Beirut, nchini Lebanon. Kwa mujibu wa Jeshi la Israel, Al-Qubaisi alikuwa kamanda wa mfumo wa makombora na roketi wa Hezbollah. Al-Qubaisi alikuwa pamoja na maafisa wengine wakuu…