Umaarufu wa Diddy waongezeka baada ya kutiwa nguvuni na polisi.

Rapa wa Marekani Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kuongeza wasikilizaji wapya mtandaoni baada ya kukamatwa kwa rapa huyo hivi karibuni. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na kampuni ya uchambuzi wa data Luminate imeripoti kuwa muziki wa Diddy umepata ongezeko la asilimia 18.3 ya streams kwenye wiki aliyokamatwa ikilinganishwa na wiki ambazzo alikuwa uraiani . Diddy amewekwa…

Read More

Moyo wangu wa-Baridii siwezi kupenda tena, wala sipati hisia – Ruger

Kutoka Nigeria mwanamuziki, Michael Adebayo Olayinka, almaarufu kwa jina la Ruger, amefunguka kuhusu undani wa maisha yake ya kimapenzi. Msanii huyo kipenzi cha wadada, amewashtua wengi kwa kusema ‘hawezi kupenda tena’ kwasababu maisha yake ya mapenzi yameharibiwa na hivyo anashindwa kupata hisia. “Maisha yangu ya mapenzi yameharibika … siwezi kupenda tena. Moyo wangu ni baridiiii….

Read More

50 CENT Afichua siri ya utofauti wa kufanya series na single movie.

Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani anayefahamika zaidi kama 50 Cent amefunguka kwanini kutengeneza tv series ni bora kuliko kuandaa movie ya fupi ya kawaida.   Kupitia mahojiano aliyoyafanya msanii huyo maarufu ambaye pia ni rapa amesema kufanya series haihitaji msanii maarufu inahitaji kipaji pekee ila kufanya movie inahitaji msanii maarufu .  …

Read More