Soka ingekuwa kazi yangu kama nisingetoboa kwenye muziki – Wizkid
Kutoka Nigeria mkali wa miondoko ya Afrobeats na mshindi wa tuzo za Grammy, Wizkid, ameweka wazi kuwa mpira wa miguu ndio ingekuwa kazi yake pendwa kama asingetoboa kwenye muziki. “Kama nisingekuwa mwanamuziki ningekuwa mchezaji mpira, nacheza mpira mzuri sana na niliwahi kuwa kwenye kikosi cha shule niliyosoma”, aliongea kwa kujitamba Wizkid. Mwanamuziki huyo amesema ana…