Taarifa zilizotufikia zinasema mwili wa aliyekuwa mwanamuziki na mfanyabiashara Joseph Francis, maarufu kwa jina la ‘Mandojo’ utasafirishwa leo kuelekea Manyoni na siku ya Jumatano atazikwa kwenye makaburi ya familia walipozikwa wazazi wake wote wawili.