Mjasiriamali na muigizaji wa filamu za kibongo, Faiza Ally kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram amechapisha picha akiwa na watoto wake mapacha wa kiume huku akiwatakia heri ya kufikisha mwezi mmoja toka kuzaliwa.
Hongera @iamfaizaally