Vladimir Putin aapa kufikia malengo yake ya ushindi nchini Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin aliapa kufikia malengo yake ya ushindi nchini Ukraine katika ujumbe wa video wa Septemba 30 iliyoenda sanjari na ukumbusho wa tamko lake la upande mmoja mwaka 2022 akilenga kutwaa maeneo manne ya Ukraine ambayo kwa sehemu yake yanadhibitiwa na wanajeshi wa Urusi. Maafisa wa Kyiv wanasema ulinzi wa anga uliharibu…