Mwimbaji wa Nigeria, Rudeboy amemnunulia mke wake mpya gari jipya kabisa aina ya Range Rover baada ya miezi michache ya ndoa.
Rudeboy hakuwahi kumnunulia mke wake wa zamani gari la kiwango hiki licha ya kuwa pamoja kwa miaka zaidi ya 10.