Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza baada ya kuwakuta na hatia katika makosa yote mawili walioshtakiwa nayo la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya,…

Read More
BIDEN

BIDEN AVAA KOFIA YA TRUMP 2024

Rais wa Marekani Joe Biden aonekana akivaa kofia ya Trump 2024 akiwa kwenye ziara katika kituo cha zima moto huko Shanksville, Pennsylvania. Tukio hilo la limeshangaza wengi limezua mijadala mitandaoni huku likihusishwa na mjadala wa urais uliopita kati ya Trump na Kamala Harris. Pia limetafsiriwa na wengine kama mzaha au tukio la kisiasa na ishara…

Read More