Mchezaji apewa kipigo kisa kuvaa jezi ya Bayern Ujerumani
Jeshi la Polisi Nchini Ujerumani linafanya uchunguzi juu ya shambulio dhidi ya mchezaji wa Nurnberg, Niklas Wilson Sommer baada ya beki huyo wa kulia kuchapisha picha yake akiwa amevaa jezi ya Bayern Munich kwenye akaunti yake ya Instagram. Sommer, ambaye alijunga na Nurnberg kutoka Waldhof Mannheim ya Ujerumani mnamo 2023, ameripotiwa kushambuliwa akiwa nyumbani kwake…