Jeshi La Polisi Mkoa Wa Simiyu Lakamata Watu Watano Kwa Tuhuma Za Kuwaua Watu Wawili
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata watu watano kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi kwa kuwakamata na kuwaua watu wawili kisha kuteketeza miili yao kwa moto. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, ACP Edith M. Swebe, mnamo tarehe 20 Septemba 2024, waliouawa ni Ntawa Limbu, Msukuma mwenye umri wa miaka…