Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania.

Al Ahli Tripoli wameamua kujiandalia chakula chao wenyewe katika Ubalozi wa Libya nchini Tanzania. Kwa hiyo, watalala tu hotelini huku chakula watakachokula kitaletwa kwao moja kwa moja kutoka kwa Ubalozi wa Libya ikiwa ni pamoja na maji, juisi na matunda. Pia: Wameripoti kuwa baadhi ya vyombo vyao vya habari vya kuripoti mchezo huo vimekamatwa na…

Read More

Mashine ya SGR nje wiki mbili.

Daktari wa klabu ya Simba Edwin Kagabo amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza jeraha alilolipata kwenye mchezo wa kwanza wa ligi. Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC…

Read More