Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imetoa ofa ya Euro milioni 80 kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa Napoli mnigeria Victor James Osimhen.
Hata hivyo klabu yake imegoma na kusema haitachukua pesa yoyote chini ya Euro milioni 110.
Mpaka sasa hakuna klabu iliyokubali kutoa kitita hicho.