Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer amesema Uingereza itaujenga upya uhusiano wake na Umoja wa Ulaya. Waziri Mkuu huyo wa Uingereza ameyasema hayo kwenye mkutano na viongozi zaidi ya 45 wa jumuiya hiyo unaofanyika mjini Woodstock nchini Uingereza.
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA KEIR STARMER AAPA KUREJESHA UHUSIANO NA ULAYA
