
Kim na Khole walivyotupia mavazi ya kihindi kwenye harusi ya mtoto wa Bilionea wa India
Hivi ndivyo ndugu wawili Kim na mdogo wake Khloe Kardashian walivyopigilia mavazi jana katika siku ya pili ya harusi ya mtoto wa bilionea, Anant Ambani na mkewe Radhika Merchant ambao ndoa yao ilifungwa Ijumaa. Ndugu hao ambao wamekuwa wakitikisa kwenye masuala ya urembo siku ya pili walitupia mavazi ya Kihindi huku Kim akiwa na vito…