Bamba Digital

Milio ya risasi inaripotiwa kufyatuliwa kwenye mkutano wa Donald Trump

Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya milio ya risasi kufyatuliwa kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania – huku rais wa zamani aliyejeruhiwa akikimbia kutoka jukwaani na walinzi wenye silaha. Wakili wa Wilaya ya Butler aliiambia Associated Press (AP) kwamba mpiga risasi alikuwa amekufa na kwamba mhudhuriaji wa mkutano pia aliuawa. Mtu…

Read More

Eddie Murphy afunga ndoa baada ya uchumba uliodumu kwa miaka 6

Nyota wa movie ya ‘Coming to America’, Eddie Murphy amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mwanamitindo Paige Butcher. Wanandoa hao waliokuwa kwenye uchumba kwa takriban miaka miaka sita, walifunga ndoa katika sherehe ya faragha iliyojumuisha familia na marafiki wachache wa karibu. Harusi ya wawili hawa ilfanyika huko Anguilla kwenye visiwa vya Caribbean. Eddie…

Read More