
Waziri Mkuu Ahimiza Usimamizi Kuelekea Siku Ya Mashujaa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameagiza ofisi yake kuhakikisha inaendelea kufanya maandalizi kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa itakayofanyika Jijini Dodoma Julai 25,2024. Mhe. Majaliwa ametoa agizo hilo leo tarehe12 Julai, 2024 Jijini Dodoma wakati akikagua maendeleo ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu…