Harusi ya mtoto wa Bilionea wa India yatikisa Duniani.
Baada ya harusi ya msanii Davido kutikisa Afrika hivi karibuni harusi nyingine inayoendelea kukamata vichwa vya habari duniani kwa sasa ni harusi ya mtoto wa bilionea wa India Mukesh Ambani anayeitwa Anant Ambani na mpenzi wake Radhika Merchant kutokana na ukubwa wa harusi hiyo. Harusi hiyo ya kifahari inayohusisha watu maarufu duniani kama vile Shah…