Nampenda sana Wizkid – Nicki Minaj

Kutoka nchini Marekani, Malkia wa Rap Nicki Minaj ameeleza jinsi anavyovutiwa na mwanamuziki wa Nigeria, Ayodeji Balogun, maarufu kwa jina la Wizkid. Akiongea hivi majuzi kwenye kipindi cha #StationHead, Nicki alisema ana ‘upendo na heshima nyingi’ kwa Wizkid. Minaj alimuelezea staa huyo wa ngoma maarufu ya ‘Ojuelegba’ kama mtu mtulivu na mwenye akili nyingi. “Wizkid…

Read More

Diamond kuisimamisha Barcelona kwa ‘Show’ kali leo

Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania.   Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’…

Read More