Diamond kuisimamisha Barcelona kwa ‘Show’ kali leo

Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania.   Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’…

Read More

Penzi jipya la Jux lamtesa EX wake.

Aliyewahi kuwa mpenzi wa msanii wa muziki wa bongofleva Juma Jux mwanadada Karen Bujulu ameonekana kuumizwa na penzi jipya la msanii huyo kutokana na kile alichokichapisha kwenye ukurasa wake wa instagram muda mfupi baada ya Jux kuchapisha picha akiwa na mpenzi wake mpya raia wa Nigeria Pricila Star.   Jux ambaye hivi karibuni amekuwa akitajwa…

Read More

Sasa Itakuaje ?…!Mama Dangote amuambukiza Uncle Shamte Maradhi.

Sa Itakuaje…? Mume wa Mama Dangote mama mzazi wa Diamond Platnumz leo hii amefunguka  kuwa mwanamama huyo amempa maradhi  baada ya vipimo kutoka. Uncle Shamte kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe huku akiambatanisha na picha ya Mama Dangote unaosemeka kama ifuatavyo… Majibu ya vipimo vyote vinaonesha ya kwamba MARADHI yangu ni wewe tu. 1)…

Read More