Shakira kutumbuza leo fainali Copa America
Nyota wa muziki kutoka Colombia anayeishi Marekani, Shakira anatarajiwa kuweka rekodi kwa kutumbuiza kwa mara ya kwanza wakati wa mapumziko katika mchezo wa fainali ya Copa America kati ya Argentina na Colombia utakaopigwa kwenye uwanja wa The Hard Rock Stadium, Miami Florida. Mchezo huo ambao utapigwa usiku wa leo kuamkia kesho Jumatatu kwa saa…