Eddie Murphy afunga ndoa baada ya uchumba uliodumu kwa miaka 6

Nyota wa movie ya ‘Coming to America’, Eddie Murphy amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mwanamitindo Paige Butcher. Wanandoa hao waliokuwa kwenye uchumba kwa takriban miaka miaka sita, walifunga ndoa katika sherehe ya faragha iliyojumuisha familia na marafiki wachache wa karibu. Harusi ya wawili hawa ilfanyika huko Anguilla kwenye visiwa vya Caribbean. Eddie…

Read More

MWAMBA ABUYA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA YANGA

MWAMBA wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Yanga. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inafanya maboresho makubwa kuelekea msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kitaifa na kimataifa. Abuya anaingia kwenye orodha ya nyota watakaokuwa na…

Read More