chikao chikao

Tanzia…! Msanii Mandojo afariki dunia

Msanii wa Bongofleva Mandojo amefariki dunia leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Msanii mwenzake aliyefanya naye kazi kwa ukaribu Domokaya na Soggdoggyanter wamethibitisha taarifa hiyo ya kifo cha Mandojo. Kwa mujibu wa taarifa za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu mmoja…

Read More

Yanga yashinda kesi dhidi ya Mzee Magoma

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mnamo August 09,2024 imetupilia mbali mwenendo mzima wa maombi yaliyofunguliwa na Juma Magoma na wenzake ya kutaka kuundoa uongozi wa Club ya Yanga madarakani na pia kuweka kando tuzo na amri zote zilizotolewa katika hukumu iliyowapa ushindi Wazee hao.   Pamoja na kutupilia mbali maombi yao, Mahakama hiyo imeamuru Magoma,…

Read More