Rema atoa shukrani ya kibunda cha milioni 180 kwa Kanisa
Mwanamuziki wa Nigeria, Divine Ikubor, maarufu kwa jina la Rema, ametoa kiasi cha Naira milioni 105 (sawa na shilingi Milioni 180 za kitanzania) kwa Kanisa la Christ Embassy, lililoko kwenye jimbo la Edo mahali alikozaliwa. Rema alitoa msaada huo kama shukrani kwa msaada ambao kanisa hilo lilitoa kwa familia yake ilipokuwa ikipitia kipindi kigumu wakati…