Wanasimba njooni leo mshuhudie burudani ya soka la kasi – Fadlu Davids

Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amewaomba mashabiki kujaa kwa wingi leo Uwanja wa Benjamin Mkapa kukiangalia kikosi kipya cha timu hiyo kitakachowapa burudani ya soka la kuvutia na lenye kasi. “Tupo tayari, mashabiki watarajie mchezo mzuri, lakini pia watarajie msimu mzuri wa Ligi Kuu na mashindano ya Kimataifa,” alisema Hussen. “Baada ya mchezo wa leo,…

Read More

Unaweza kudhani ni mtoto wa miaka 4, lakini ni kijana wa miaka 22

Hasbulla Magomedov ni staa mkubwa kwenye mitandao ya kijamii anayetokea Dagestan huko nchini Urusi. Alipata umaarufu mwishoni mwa 2020 kwa vichekesho vyake kwenye Instagram kabla ya umaarufu wake kuongezeka alipoanza kutumia TikTok mwaka 2021 na amekuwa akialikwa sehemu mbalimbali duniani. Ukimuangalia jinsi alivyo unaweza kudhani ni mtoto wa miaka 4, lakini Hasbulla aliyezaliwa mwaka 2002…

Read More

Simba ni lidude likubwaaa…! Mnyama ajaza uwanja siku 3 kabla ya Simba Day.

Klabu ya Simba imeweka rekodi ya kumaliza tiketi zote za sikukuu ya Simba Day siku tatu kabla ya sherehe yao itakayofanyika jumamosi ya terehe 3/8/2024 katika dimba la Benjamini Mkapa. Mnyama anaweka rekodi hii akiivunja rekodi aliyokuwa ameiweka msimu uliopita ya kujaza uwanja huo unaoingiza mashabiki elfu 60 siku mbili kabla ya Simba Day. Akizungumzia…

Read More