
LAMECK LAWI AANZA KAZI UBELGIJI…SIMBA WAIKWIDA COASTAL
BAADA ya Kamati ya Usuluhishi ya Tff kutoa maelekezo Simba na Coastal Union kukaa chini na kumalizana kwa kutumia busara, na Jana Julai 27 Viongozi wa timu hizo walikutana kujadili mustakabalia wa Lameck Lawi ambaye yupo Ubelgiji, baada ya kufanya vipimo katika klabu ya K.A.A Gent inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji. Dili la Lawi kutua…