GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE

KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha ndani ya timu hiyo, akisema namna bora ya wao kujitambulisha ni kufunga mabao. Baleke na Dube kila mmoja amefunga bao katika mechi mbili tofauti zilizopita za kirafiki za kimataifa timu ikiwa Afrika Kusini, hatua ambayo imemtuliza Gamondi,…

Read More
Novatus Dismas

Novatus Atambulishwa Rasmi Uturuki

Mchezaji kiraka wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi amejiunga na kutambulishwa rasmi na klabu ya Goztepe Spor Kulubu ya ligi kuu soka nchini Uturuki akitokea Zulte Waregem ya ligi kuu soka nchini Ubelgiji. Novatus ambaye alianza vizuri msimu uliopita akiwa na Shakhtar Donetsk ya Uturuki alipokuwa kwa mkopo kwenye ligi kuu nchini humo na…

Read More