inonga

NABI AMVUTA HENOCK INONGA HUKO AS FAR RABAT

BEKI wa zamani wa Simba ya Tanzania, Henock Inonga anatajwa kuwa kwenye changamoto mpya ndani ya AS FAR Rabat kwa ajili ya kutimiza majukumu yake hapo. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Inonga ndani ya ligi alicheza mechi 10 pekee za ligi muda mwingi alikuwa akitumia kwenye matibabu kwa kuwa hakuwa fiti. Inonga anatua AS FAR Rabat timu ambayo ilikuwa ikinolewa na aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine…

Read More

Kwa Hiki Chuma, Hata Messi Anafichwa

Muda wowote kuanzia sasa mlinzi wa Lille, Leny Yoro anaweza akatua kwenye Jiji la Manchester kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Man United. Inaelezwa kuwa kila kitu kimekamilika kilichosalia ni kufanyiwa vipimo vya afya na kumalizika mambo binafsi kabla ya Mfaransa huyo kutangazwa na Red Devils. Taarifa za uhakika zaidi zinaeleza kuwa Man United watalipa…

Read More