
RAHEEM STERLING WA ARSENAL AJA KIVINGINE ABATIZWA NA KUGEUKIA UKRISTO
Mchezaji wa Asernal aliyejiunga kwa mkopo kwenye klabu hiyo akitokea Chelsea Raheem Sterling Muingereza mwenye asili ya Jamaica amebatizwa na kubadilisha imani yake katika Dini ya Kikisto. Baadhi ya video zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha Sterling akiwa na mavazi meupe akibatizwa huko nyumbani kwao nchini Jamaica alipozaliwa. Sterling amesema amefanya uamuzi huo baada…