AZAM FC YATAJA UGUMU WA APR ULIPO

BENCHI la ufundi la Azam FC limebainisha kuwa lina kazi kubwa yakufanya kuelekea mchezo wa marudio dhidi ya APR ya Rwanda unaotarajiwa kuchezwa Agosti 24 2024 huku likiweka wazi kuwa ugumu wa kupata matokeo mbele ya wapinzani wao ni eneo la ulinzi kutokana na namna ambavyo wanajipanga. Ipo wazi kwamba mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa…

Read More

Halland ni kama Messi na Ronaldo – Guardiola

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola akizungumza kuhusu Haaland baada ya mechi ya jana dhidi ya Chelsea amesema kuwa mshambuliaji huyo anafanana kitakwimu na washindi mara nyingi ya tuzo ya Ballon D’or Lionell Messi na Cristiano Ronaldo. “Hizi namba ni kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni namba za kiwango hicho. Kufanya…

Read More

MBAPPE ANUNUA KLABU YAKE YA UTOTONI

Kylian Mbappé amenunua hisa nyingi katika klabu ya Caen ambayo inashiriki Ligue 2 ya Ufaransa kwa takriban €20 milioni.   Akiwa na umri wa miaka 25, Mbappé anakuwa mmiliki mdogo zaidi wa klabu katika soka la Ulaya. Ununuzi huu unafuatia uhamisho wake wa hali ya juu kwenda Real Madrid, ambapo anaagiza mshahara mkubwa na mikataba…

Read More