
Mr. P wa P-Square afunguka mazito kuhusu bifu na Kaka’ake Rude Boy
Nyota wa muziki Nigeria, Peter Okoye ‘Mr P’ wa kundi maarufu la muziki la ‘Psquare’ ameandika barua ya wazi kwa pacha wake Paul Okoye ‘Rudeboy’. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mr P, alimtaka pacha wake afahamu kuwa hakuwa kwenye ushindani na yeye wala na mtu yoyote yule hivyo kuendelea kufanya mahojiano ya kumdhalilisha kwenye mitandano…