NAAAM!!! AMA KWELI UBAYA UBWELA, LUPASO IMEITIKA
Tazama picha za Matukio ya Wanasimba kwenye Ubaya Ubwela Simba Day
Tazama picha za Matukio ya Wanasimba kwenye Ubaya Ubwela Simba Day
Matukio kwenye Simba Day, wanasimba tayari kwenda kushihudia burudani ya Ubaya Ubwela.
Bodi ya Kahawa imezindua mradi wa mgahawa unaotembea maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya watu ili kuweza kutoa huduma ya unywaji wa kahawa. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima na wafugaji (88) yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya 88 Nzuguni jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Primus Kimaryo amesema mkakati wao ni…
Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amewaomba mashabiki kujaa kwa wingi leo Uwanja wa Benjamin Mkapa kukiangalia kikosi kipya cha timu hiyo kitakachowapa burudani ya soka la kuvutia na lenye kasi. “Tupo tayari, mashabiki watarajie mchezo mzuri, lakini pia watarajie msimu mzuri wa Ligi Kuu na mashindano ya Kimataifa,” alisema Hussen. “Baada ya mchezo wa leo,…
Klabu ya Namungo imetangaza kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba, Meddie Kagere kwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake mkoani Lindi. Kagere amesajiliwa mwaka mmoja baada ya mkataba wake wa mkopo kutoka Singida Black Stars kumalizika. Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa mabosi wa klabu hiyo wamempa mwaka…
Kama vile Ambavyo Meneja Habari wa Yanga Ally Kamwe alivyosema kuwa leo wananchi ambao watanunua tiketi za Siku ya Wananchi ambayo itafanyika tarehe 4, ndivyo ilivyofanyika leo zoezi la uuzaji tiketi umefanyika na supu zikanyweka, picha za matukui hizi hapa chini.
‘Bundi’ wa majeraha ameendelea kuiandama klabu ya Manchester United baada ya juzi beki wao mpya Leny Yoro kuumia kwenye mchezo wa maandalizi ya msimu dhidi ya Arsenal na kusadikika kuwa nje ya uwanja kwa karibu miezi miwili, leo tena alfajiri washambuliaji wao wawili Marcus Rashford na Antony kuumia na kushindwa kumaliza mchezo kwenye mchezo wa…
Usiku wa tarehe 1 August 2024, katika jiji la Dar Es Salaam limefanyika moja kati ya tukio kubwa la kimichezo katika nchi ya Tanzania, nalo ni ugawaji wa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema katika msimu wa 2023/2024, Tuzo zinazofahamika kama TFF Awards ambapo zimefanyika katika ukumbi wa Super Dome. Katika Usiku Huo wa ugawaji wa…