Muuaji wa Wanawake Sita Pamoja na Mkewe, Atoroka Jela
Collins Khalusha Mtuhumiwa wa mauaji ya wanawake Sita akiwemo na mkewe wa ndoa, ambapo anadaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo aliitupa miili ya wanawake hao katika machimbo ya Kware katika kaunti ya Embakasi, ametoroka asubuhi leo Jumanne Agosti 20, 2024 kwenye kituo cha polisi cha Giriri, Nairobi Kenya Katika kesi yake Mtuhumiwa huyo ambaye alikiri…