
Familia, akiwemo Mbwa ni miongoni waliofariki ajali ya ndege Brazil
Wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil iliyoua watu 62, imebainika kuwa waliofariki ni pamoja na madaktari wa saratani, mtoto wa miaka mitatu, wakili aliyebobea katika kesi dhidi ya mashirika ya ndege na familia ya Venezuela na mbwa wao, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti. Miili yote sasa imeopolewa kutoka eneo la ajali…