
Yanga yashinda kesi dhidi ya Mzee Magoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mnamo August 09,2024 imetupilia mbali mwenendo mzima wa maombi yaliyofunguliwa na Juma Magoma na wenzake ya kutaka kuundoa uongozi wa Club ya Yanga madarakani na pia kuweka kando tuzo na amri zote zilizotolewa katika hukumu iliyowapa ushindi Wazee hao. Pamoja na kutupilia mbali maombi yao, Mahakama hiyo imeamuru Magoma,…