Skip to content
08/06/2025
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag
BAMBA DIGITAL

BAMBA DIGITAL

Feel at Home

  • Home
  • Entertainment
  • Top Storie
  • News
  • Magazeti
  • Contact Us
  • English Premier League Table 2024-25
YOUTUBE
Headlines
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024

    8 months ago
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    8 months ago
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify

    8 months ago8 months ago
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag

    8 months ago
  • Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024

    8 months ago
  • Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’

    8 months ago8 months ago

Highlight News

  • News

Mmiliki wa mabasi ya Sauli afariki kwa ajali ya gari

chikao chikao10 months ago01 mins

Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia alfajiri ya leo Agosti 4, 2024 katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Wilaya ya Mlandizi mkoani Pwani. Taarifa zinaeleza kuwa gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T213 DQD lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep alilokuwemo tajiri huyo…

Read More
  • News

Marekani inaamini Iran itaanza kuitwanga Israel muda wowote kuanzia leo

chikao chikao10 months ago01 mins

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amewaambia viongozi wenzake wa G7 kwamba Washington inaamini kwamba mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yanaweza kuanza ndani ya saa 24 hadi 48 zijazo, huku Marekani ikiendelea na juhudi za kutuliza hali ya wasiwasi katika eneo na kujaribu kuzuia vita. Marekani inaamini kuwa shambulio la Iran…

Read More
  • News

Polisi watoa tamko tukio la ukatili la binti Yombo

chikao chikao10 months ago10 months ago01 mins

Jeshi la Polisi limetangaza kuanza kulifanyia kazi tukio hilo ovu na la kulaaniwa lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimwonyesha binti anayesemekana ametokea Yombo Dovya Jiji la Dar es Salaam akidhalilishwa na kufanyiwa ukatili ambao haukubaliki kwani ni kinyume cha sheria, maadili ya Mtanzania na Haki za Binadamu. Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 05, 2024

chikao chikao10 months ago10 months ago01 mins

Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 05, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.                

Read More
  • Sports

AHMED ALLY AINGIA KWENYE SIMBA DAY NA WAMASAI

chikao chikao10 months ago10 months ago01 mins

Leo tarehe 3 August 2024 ni siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na wanachama, mashabiki na wapenzi wa Simba, kwenye kusherehekea siku yao pendwa na Simba Day, ambapo meneja habari na mawasiliano wa Simba Ahmed Ally aliingia kwa aina ya kipekee akiwa na wamasai pia akivalia mavazi ya kimasai. Simba Day “Ubaya Ubwela” huu ni…

Read More
  • Sports

NAAAM!!! AMA KWELI UBAYA UBWELA, LUPASO IMEITIKA

chikao chikao10 months ago10 months ago01 mins

Tazama picha za Matukio ya Wanasimba kwenye Ubaya Ubwela Simba Day

Read More
  • Sports

KWELI “UBAYA UBWELA” TIKETI HAZI UZWI NJE, WANASIMBA WAMEJAA

chikao chikao10 months ago10 months ago01 mins

Matukio kwenye Simba Day, wanasimba tayari kwenda kushihudia burudani ya Ubaya Ubwela.

Read More
  • Sports

Vijana kukopeshwa migahawa inayotembea ili kujikwamua kuchumi

chikao chikao10 months ago10 months ago02 mins

Bodi ya Kahawa imezindua mradi wa mgahawa unaotembea maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya watu ili kuweza kutoa huduma ya unywaji wa kahawa. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima na wafugaji (88) yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya 88 Nzuguni jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Primus Kimaryo amesema mkakati wao ni…

Read More
  • 1
  • …
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • …
  • 41
© 2024 BAMBA DIGITAL. All Rights Reserved. Powered By BlazeThemes.