Wanasimba njooni leo mshuhudie burudani ya soka la kasi – Fadlu Davids

Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amewaomba mashabiki kujaa kwa wingi leo Uwanja wa Benjamin Mkapa kukiangalia kikosi kipya cha timu hiyo kitakachowapa burudani ya soka la kuvutia na lenye kasi. “Tupo tayari, mashabiki watarajie mchezo mzuri, lakini pia watarajie msimu mzuri wa Ligi Kuu na mashindano ya Kimataifa,” alisema Hussen. “Baada ya mchezo wa leo,…

Read More

Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa Hamas aliyeuawa

Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Ismail Haniyeh, nchini Iran ambaye aliuawa katika shambulizi mjini Tehran siku ya Jumatano. Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaongoza sala hiyo kabla ya kiongozi huyo kuzikwa nchini Qatar. Vyombo vya habari vya Marekani vimewanukuu maafisa wa Iran wakisema kiongozi huyo mkuu ameamuru shambulio…

Read More