Amadu Koita aenda jela miaka 182 kwa kutaka kupindua serikali
Mahakama nchini Sierra Leone imewakuta na hatia watu 11 wanaotuhumiwa kwa uhaini na makosa mengine baada ya jaribio la mapinduzi mwezi Novemba mwaka jana. Miongoni mwao ni Amadu Koita Makalo, mwanajeshi wa zamani, aliyekuwa mlinzi wa aliyekuwa Rais Ernest Bai Koroma, ambaye Mahakama imemhukumu miaka 182 jela. Koita Makalo alikuwa na ufuasi mkubwa kwenye mitandao…