Skip to content
08/06/2025
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag
BAMBA DIGITAL

BAMBA DIGITAL

Feel at Home

  • Home
  • Entertainment
  • Top Storie
  • News
  • Magazeti
  • Contact Us
  • English Premier League Table 2024-25
YOUTUBE
Headlines
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024

    8 months ago
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    8 months ago
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify

    8 months ago8 months ago
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag

    8 months ago
  • Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024

    8 months ago
  • Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’

    8 months ago8 months ago

Highlight News

  • Sports

PSG wanaitaka saini ya Désiré Doué kwa dau la Euro milioni 60

chikao chikao11 months ago01 mins

Klabu ya PSG inapanga kutoa ofa yake ya pili leo kwa ajili ya kumsajili mchezaji Désiré Doué wa Klabu ya Rennes ya Ufaransa kwa dau la Euro milioni 60 ikiwa ni pamoja na bonasi. Kwa dau hili PSG wana matumaini ya kuwashinda Bayern Munich ambao nao wanaililia saini ya mchezaji huyo.

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 25, 2024

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.            

Read More
Kibu Denis
  • Sports

HII HAPA, SABABU YA “KIBU DENIS” KUTOWASILI KAMBINI, SASA ANAIKANDA SIMBA

chikao chikao11 months ago10 months ago12 mins

Rashid Yazid, Msimamizi wa Kibu Denis amezungumza kwa mara ya kwanza tangu sakata la Kibu Denis kutowasili kambini kujiunga na timu kwenye maandalizi ya msimu, huku Timu yake ya Simba ikitoa taarifa kwa Umma jana kua imemalizana na mchezaji huku ikishangaa kwanini hajawasili kambini mpaka leo na akitoa sababu nyingi, pia ikisema kama klabu itatoa…

Read More
  • Entertainment

“Wasanii Rudisheni Mikopo” – Mh Hamis Mwinjuma

chikao chikao11 months ago10 months ago02 mins

Naibu Waziri wa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma mwanafa Ametoa agizo kwa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania Ukutane na wasanii walionufaika na mkopo wa fedha kupitia mfuko huo na mpaka sasa hawajarejesha. Hil linajiri kabla ya kuandishwa kwa utaratibu mpya wa kutumia Akaunti za Benki kukopesha wasanii ukiwa ni…

Read More
  • Entertainment

Muna Love Ajifungua Mtoto Mwingine wa Kiume.

chikao chikao11 months ago10 months ago02 mins

Muna Love amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na mtoto wake mchanga kwenye moja ya Hospitali nchini Canada na kuambatanisha na andiko lililowagusa wengi huku akimshukuru Mungu kwa kumpatia mtoto mwingine na kumkabidhi mikononi mwa Yesu akiahidi kuwa mtoto huyo atatumika kulitangaza jina la Yesu pamoja na mama yake. Msanii huyo kupitia waraka…

Read More
  • Sports

KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED YADHAMINI TIMU YA FOUNTAIN GATE

chikao chikao11 months ago03 mins

Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu ya soka tanzania bara ya Fountain Gate kupitia kinywaji chake kipya cha Tanzanite Royal Gin ambapo timu hiyo imeingia makubaliano ya udhamini wa mwaka mmoja na kampuni hiyo . Akizungumza katika Halfa…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2024

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.                

Read More
harmonize
  • Entertainment

Harmonize: Nikiacha muziki, nitakuwa daktari

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Harmonize, Mmiliki wa Kundi la Konde Music kwa mara ya kwanza ameeleza ndoto yake ya kile anachopanga kukifanya baada ya kustaafu kazi yake ya muziki. Katika mahojiano, msanii huyo alieleza kuwa anafahamu kabisa kuwa hatakuwepo kwenye tasnia ya muziki milele na tayari amebainisha ni kitu gani ataridhika nacho pindi taaluma yake ya muziki itakaposhuka. “Nimewaza…

Read More
  • 1
  • …
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • …
  • 41
© 2024 BAMBA DIGITAL. All Rights Reserved. Powered By BlazeThemes.