
Penzi jipya la Jux lamtesa EX wake.
Aliyewahi kuwa mpenzi wa msanii wa muziki wa bongofleva Juma Jux mwanadada Karen Bujulu ameonekana kuumizwa na penzi jipya la msanii huyo kutokana na kile alichokichapisha kwenye ukurasa wake wa instagram muda mfupi baada ya Jux kuchapisha picha akiwa na mpenzi wake mpya raia wa Nigeria Pricila Star. Jux ambaye hivi karibuni amekuwa akitajwa…