ZARI APANDA NDEGE MPAKA KAMPALA KUMUOMBA MSAMAHA SHAKIB

Zari Hassan ameomba radhi hadharani kwa mumewe, Shakib Lutaaya, akikiri kwamba kelele zake za hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii zilichochewa na kufadhaika. Mfanyabiashara huyo alifunguka kuhusu matendo yake wakati wa mahojiano na vyombo vya habari, ambapo alieleza kuwa kwa sasa yuko Kampala kuungana na Shakib na kurekebisha uhusiano wao. Zari Hassan anamuomba mume Shakib…

Read More

EDO KUMWEMBE AMNG’ATA SIKIO DENIS NKANE…AMSAKIZIA NGASSA

BAADA ya kijana mdogo kuonekanakutopata nafasi ya kucheza katika mitaa ya Jangwani, Denis Nkane kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa huenda ndoto zake za kusaka kabumbu hadi ulaya zinaweza kutotimia. Alipotoka Biashara Utd ya Mara kujiunga na Yanga, alikutana na kocha Nasradinne Nabi ambapo alikuwa akipata nafasi ya kuanza na kucheza, lakini tangu Nabi aondoke na ujio wa…

Read More
GAMONDI

MASTAA 14 WAMPASUA KICHWA GAMONDI

LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mechi za kimataifa za timu za taifa, huku kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi kwa sasa akifunga na kuomba ili mastaa 14 wa timu hiyo walioitwa warudi salama ili kuendeleza moto kutetea ubingwa inayoushikili kwa msimu wa tatu mfululizo. Mechi za timu za taifa zikimalizika…

Read More

FARHAN ASHINDWA KUJIZUIA KISA AISHI MANULA

BAADA ya kuaminiwa kulilinda lango la Simba kwa dakika 45 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal, Aishi Salum Manula alikuwa na kiwango kizuri sana kwa kuchomoa michomo ya hatari zaidi ya mara moja. Katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa, ulimaliza kwa sare ya 1-1, goli la Simba likifungwa na Leonel Ateba, Simba ilicheza vizuri kabla ya…

Read More