Nchi ya Palestina imepewa utambulisho mpya katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwenye mkutano mkuu uliofanyika juzi Septemba 10, inayoiruhusu kuwasilisha mapendekezo, ingawa bado haijapewa haki ya kupiga kura.
Tarehe 29 Novemba 2012 Palestina ilipewa hadhi ya kuwa mtazamaji asiye mwanachama katika Umoja wa Mataifa.