Diamond aifikia rekodi ya Zuchu.
Video ya ngoma ya Jeje ya msanii Diamond Platnumz imefikisha watazamaji milioni 100 kwenye mtandao wa YouTube na kuwa video ya kwanza ya msanii huyo aliyoimba pekee yake kufikisha watazamaji milioni 100 Youtube akiwa msanii wa pili Tanzania na Afrika Mashariki. Hivi karibuni video ya wimbo wa Sukari (2021) ya msanii Zuchu uliweka rekodi ya…