Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 29, 2024
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo July 29, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo July 29, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Benki ya NBC zilizoanzia na kuishia katika uwanja wa mpira wa miguu wa Jamhuri jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa ameipongeza benki hiyo kwa kaundaa mbio hizo zenye lengo la kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya…
Baada ya aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba, Babacar Sarr kutangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria kama mchezaji huru baada ya kumalizana na Wekundu hao wa Msimbazi mpaka sasa klabu ya JS Kabylie ina wachezaji na watumishi wa bechi la Ufundi zaidi ya watano kutoka Simba. Babacar raia wa…
Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania. Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’…
Jezi ya msimu mpya wa Ligi 2024/2025 ya Simba iliyobatizwa jina la Ubaya Ubwela, imemfikia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye amekabidhiwa leo na Mwakilishi wa Sandaland, Hamis Mluba Mjini Dodoma wakati wa Marathon ya NBC DODOMA MARATHON.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Yanga Sc wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani utakaotumika msimu wa 2024/25 🔰 Jezi ambazo bado zinatengenezwa na Mbunifu wao Sheria Ngowi na bado zimekua jezi pendwa kwa wananchi zenye ubunifu.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.