Kibu hajaripoti kambini, tutamuadhibu – Simba
Klabu ya Simba leo Julai 23,2024 imetoa taarifa kuwa Mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mwaka 2024/2025. “Tunapenda kuutarifu umma kuwa Simba tulimuongezea Kibu mkataba wa miaka miwili zaidi utakaoishia June 2026 na kumlipa stahiki zake zote za kimkataba, hata hivyo Mchezaji huyu amekuwa akitoa sababu…