Mwenezi Makalla Baada Ya Kuunguruma Ilala, Sasa Zamu Ya Ubungo
Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Dar es salam (Kichama) Ndugu CPA Amos Makalla Leo tarehe 14 Julai 2024 ameanza Ziara Wilaya ya Ubungo yenye Majimbo Miwili ya Kibamba na Ubungo na kuanzia Kibamba. Mwenezi Makalla ameanza ziara hiyo kwa kukagua miradi mbalimbali akianzia katika Shule ya…