Mashine ya SGR nje wiki mbili.

Daktari wa klabu ya Simba Edwin Kagabo amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza jeraha alilolipata kwenye mchezo wa kwanza wa ligi. Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC…

Read More

Soka ingekuwa kazi yangu kama nisingetoboa kwenye muziki – Wizkid

Kutoka Nigeria mkali wa miondoko ya Afrobeats na mshindi wa tuzo za Grammy, Wizkid, ameweka wazi kuwa mpira wa miguu ndio ingekuwa kazi yake pendwa kama asingetoboa kwenye muziki. “Kama nisingekuwa mwanamuziki ningekuwa mchezaji mpira, nacheza mpira mzuri sana na niliwahi kuwa kwenye kikosi cha shule niliyosoma”, aliongea kwa kujitamba Wizkid. Mwanamuziki huyo amesema ana…

Read More