Wimbo wa Marioo wasubirishwa na BASATA kisa maadili.

Msanii wa bongofleva Marioo amethibitisha kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeeleza kuwa wimbo wake wa mpya “iPhone Users,” haujazingatia maadili.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Marioo amefunguka kuwa alipokea taarifa hiyo siku tatu baada ya wimbo kutoka, na mpaka sasa suala hilo bado lipo chini ya baraza hilo na ndio sababu ya kutoendelea na promotion au hatua yoyote kuhusu wimbo huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *