Rais Samia kwenye Kilele cha Kizimkazi Festival

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo August 25,2024 akiwa kwenye hafla ya kufunga Kizimkazi Festival kwa mwaka huu katika uwanja wa Mwehe Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Rais Samia ameungana na Viongozi wengine wa kitaifa kama Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Wasanii na Wadau mbalimbali wa sanaa na michezo ambao wamejitokeza uwanja wa Mwehe kushiriki kilele hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *